TUWAJALI WATOTO WALIFIWA NA WAZAZI WAO.
Mmmoja wa watoto yatima wa Mbozi akiwasubili wenzake ili waongozane kurudi nyumbani baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na mradi wa jali watoto kutoka PACT Tanzania kupitia shirika la Caritas Mbeya.

Liko wapi tumaini la huyu Mtoto, anahitaji kuwa na uhakika wa kuishi maisha bora ya afya, ana hitaji uhakika wa elimu na baadaye kazi. Maisha haya kwa watanzania tulio wengi ni ya kufikirika zaidi. Tunahitaji mfumo utakaotuweka mahali, tukasema na sisi tunaishi