$BlogMetaData$

 

HOME | PROFILE | GUEST BOOK | CONTACTS | MAKE IT YOUR HOME PAGE
karibu katika Blogi ya Festo Sikagonamo a.k.a Kadogoo, Jisikie huru kuchangia mjadala wowote ulioko humu ndani pamoja na kutuma maoni, mawazo, au chochote unachodhani kuwa kinahitajika kujadiliwa na jamii kwa ujumla. Endelea kufurahia
TATIZO LA MAJI LINAVYOITAFUNA WILAYA YA MBARALI
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:01 AM | kiungo mahususi
Tatizo la uhaba wa maji lina athiri mpaka masomo ya watoto Mbarali kama hawa walivyokutwa hawa hapa wakitafutiza maji kwenye mchanga.
 
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:00 AM | kiungo mahususi
 
TUWAJALI WATOTO WALIFIWA NA WAZAZI WAO.
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 4:57 AM | kiungo mahususi
Mmmoja wa watoto yatima wa Mbozi akiwasubili wenzake ili waongozane kurudi nyumbani baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na mradi wa jali watoto kutoka PACT Tanzania kupitia shirika la Caritas Mbeya.

 
Mzee Akitafakari
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:50 AM | kiungo mahususi

Mzee huyu akisubiri hundi ya fidia ya malipo ya mji wake baada kijiji chao cha Ikovo kilichopo wilaya ya Makete mkoani Iringa kuhamishwa kwa ajili ya kupisha hifadhi ya pori la akiba la Mpanga Kipengele.
 
Vyungu vikisubiri Wateja
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:43 AM | kiungo mahususi

Hii ni kazi ya mikono ya akina mama wa Ikombe wilayani Kyela mkoani Mbeya,ni kazi za mikono ambazo akina mama wengi wilayani humo huwasaidia kupata kipato na kuendesha maisha yao ya kila siku, pichani ni vyungu vikiwa vinasubiri wateja eneo lililopo ufukweni mwa ziwa la Nyasa katika kata ya Matema.
 
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:34 AM | kiungo mahususi
 
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:28 AM | kiungo mahususi
 
ukibonyeza hapa, unabakia katika blogi hii