HOME | PROFILE | GUEST BOOK | CONTACTS | MAKE IT YOUR HOME PAGE | ||
APRIL 3, 2025 | ||
BLOGI ZA WATANZANIA
|
TATIZO LA MAJI LINAVYOITAFUNA WILAYA YA MBARALI
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:01 AM | kiungo mahususi
Tatizo la uhaba wa maji lina athiri mpaka masomo ya watoto Mbarali kama hawa walivyokutwa hawa hapa wakitafutiza maji kwenye mchanga.
TUWAJALI WATOTO WALIFIWA NA WAZAZI WAO.
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 4:57 AM | kiungo mahususi
Mmmoja wa watoto yatima wa Mbozi akiwasubili wenzake ili waongozane kurudi nyumbani baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na mradi wa jali watoto kutoka PACT Tanzania kupitia shirika la Caritas Mbeya.
Mzee Akitafakari
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:50 AM | kiungo mahususi
Mzee huyu akisubiri hundi ya fidia ya malipo ya mji wake baada kijiji chao cha Ikovo kilichopo wilaya ya Makete mkoani Iringa kuhamishwa kwa ajili ya kupisha hifadhi ya pori la akiba la Mpanga Kipengele. Vyungu vikisubiri Wateja
Mwandishi: kadogoo Tarehe: 5:43 AM | kiungo mahususi
Hii ni kazi ya mikono ya akina mama wa Ikombe wilayani Kyela mkoani Mbeya,ni kazi za mikono ambazo akina mama wengi wilayani humo huwasaidia kupata kipato na kuendesha maisha yao ya kila siku, pichani ni vyungu vikiwa vinasubiri wateja eneo lililopo ufukweni mwa ziwa la Nyasa katika kata ya Matema. |
JITOKEZE KUFANIKISHA KATIKA KONGAMANO LA BLOGGERS WA KITANZANIA
![]() Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi
VYOMBO VYA HABARI
JIKINGE NA WAKINGE WENGINE
![]()
TUKILINDE KIZAZI CHA KESHO
![]()
IMESANIFIWA NA
![]() |
© 2009 Sikagonamo, F. All Rights Reserved. Articles in this blog SHOULD NOT be used witout the permission of the Blog Owner. |